Benpol akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kuwaona watoto wenye matatizo ya kupinda miguu wanaofadhiliwa na Tigo kwa matibabu yao katika Hospital ya CCBRT pembeni yake ni Chege Chigunda |
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya, ‘Chege Chigunda’ na Ben Pol wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Tigo na Hospital ya CCBRT mara baada ya kuwaona watoto wenye matatizo ya kupinda miguu wanaofadhiliwa na Tigo