NAIBU
Katibu Mkuu wa CCM-Bara- Rodrick Mpogolo (kushoto) akizungumza na Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Xu
Lyuping (kulia), katika ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba jijini Dar es Salaam.
NAIBU
Katibu Mkuu wa CCM-Bara- Rodrick Mpogolo (wapili kushoto) akizungumza
na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China
(CPC), Xu Lyuping (kulia), katika ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu
ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Katibu wa NEC
Siasa na Uhusiano wa Kimataifa KIanali mstaafu Ngemela Lubinga.
Ujumbe
wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM_Bara Rodrick Mpogo na ujumbe wa Naibu
Waziri wa mamambo ya Nje wa CPC, wakishangilia baada ya mazungumzo
kumalizika.
NAIBU
Katibu Mkuu wa CCM-Bara- Rodrick Mpogolo akiagana na Naibu Waziri wa
Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Xu Lyuping baada
ya mazungumzo yao katika ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba jijini Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo).
Naibu Katibu Mkuu akimsindikiza mgeni wake baada aya mazungumzo hayo
Naibu Katibu Mkuu akimsindikiza mgeni wake baada aya mazungumzo hayo
Naibu Katibu Mkuu akimsindikiza mgeni wake baada aya mazungumzo hayo
Naibu Katibu Mkuu akimsindikiza mgeni wake baada aya mazungumzo hayo
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM-Bara- Rodrick Mpogolo akiagana na Naibu Waziri
wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Xu Lyuping
baada ya mazungumzo yao katika ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya
CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katribu wa NEC Siasa na Uhusian9o wa Kimataifa kanali Mstaafu Ngemela
NAIBU Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akiagana na Naibu Waziri
wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Xu Lyuping
baada ya mazungumzo hayo
UGENI
HUU SAFI SANA, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara- Rodrick Mpogolo
akimwambia Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole baada ya
wageni kluondoka baada ya mazungumzo. PICHA NA BASHIR NKOROMO. PICHA NYINGI ZAIDI ZA TUKIO HILO/ BOFYA HAPA