Kosa kubwa zaidi
litakalochukuliwa kama uhalifu mkubwa ni kwa wale,
wanaorejelea maneno ya wimbo
huo wa taifa na kutumia mashairi ya wimbo huo vibaya, watakapokamatwa na
kuthibitika kutenda kosa hilo, wao watahukumiwa kifungo cha miaka kumi a mitano
jela.
Mamlaka nchini China
wanataka watu ambao watajitolea kuzingatia matukio rasmi, kama vile mikusanyiko
ya kisiasa na katika michuano ya mpira wa miguu.
Mwandishi wa BBC amesema kwamba Rais Xi Jinping Ametaka kuweka heshma ya asili na bidii ya utawala wake na kuweka uzalendo mbele kwanza katika kipindi cha mitano ya kwanza katika ofisi.