Mkurugenzi wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo kanda ya ziwa, Ally Maswanya akizungumza na wanahabari na wananchi kabla ya kukata utepe wa uzinduzi wa kisima mapema mwishoni wa wiki iliyopita.
|
Mbunge wa Rorya- Lameck
Airo akipampu maji wakati wa sherehe za uzinduzi wa kisima chenye thamni ya
Tsh.18/- milioni kilichodhaminiwa na kampuni ya Tigo.
|
Mkuu wa wilaya Rorya-
Samson Chacha akitwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Nyasoro, Penina Bailes
|
Mbunge wa Rorya- Lameck Airo akizungumza na wanahabari na wananchi kabla ya kukata utepe
wa uzinduzi wa kisima
|
Wanachi waliojitokeza kwenye uzinduzi wa kisima jana. |