MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHAATHUMAN KIHAMIA AIBUKIA STENDI YA DALADALA KILOMERO

Mkurugenzi wa Jiji la Arusha  Athumani Kihamia Leo amefanya ziara ya kustukiza katika stendi ya daladala Kilombero na kujionea changamoto mbalimbali wanazokutana nazo madreva  wanaotumia stendi hiyo.
Mkurugenz wa Jiji la Arusha Bwana Athumani Kihamia Leo amefanya ziara ya kustukiza katika stendi ya daladala Kilombero na kujionea changamoto mbalimbali wanazokutana
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Bwana Athumani Kihamia wa tatu kushoto akiwa anaongea na baadhi ya madereva wa stendi ya daladala kilombero(picha na Woinde Shizza,Arusha 

About Woinde Shizza

Mwandishi , Mjasiriamali na Mbunifu wa Mavazi. Email : woindeshizza@gmail.com , Instagram: woindeshizzablog.