Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa
kwa furaha na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Joel Bendera alipowasili
kuzindua barabara ya lami ya kilomita 26 kutoka Uwanja wa Ndege wa
kimataifa wa kilimanjaro (KIA) katika mkoa wa Kilimanjaro hadi Mererani
mkoani Manyara
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia
maelfu ya wananchi alipowasili Mererani kuzindua barabara ya lami ya
kilomita 26 kutoka Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa kilimanjaro (KIA)
katika mkoa wa Kilimanjaro hadi Mererani mkoani Manyara
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Mbunge wa Simanjiro Mhe. James Ole Milya kwenye sherehe ya
kuzindua barabara ya lami ya kilomita 26 kutoka Uwanja wa Ndege wa
kimataifa wa kilimanjaro (KIA) katika mkoa wa Kilimanjaro hadi Mererani
mkoani Manyara
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
maelfu ya wananchi wa Mererani wakati wa kuzindua barabara ya lami ya
kilomita 26 kutoka Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa kilimanjaro (KIA)
katika mkoa wa Kilimanjaro hadi Mererani mkoani Manyara
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa
akizinfdua rasmi barabara ya lami ya kilomita 26 kutoka Uwanja wa Ndege
wa kimataifa wa kilimanjaro (KIA) katika mkoa wa Kilimanjaro hadi
Mererani mkoani Manyara
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na viongozi wengine akikata utepe kuzindua barabara ya lami ya
kilomita 26 kutoka Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa kilimanjaro (KIA)
katika mkoa wa Kilimanjaro hadi Mererani mkoani Manyara
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
wananchi baada ya kuzindua barabara ya lami ya kilomita 26 kutoka
Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa kilimanjaro (KIA) katika mkoa wa
Kilimanjaro hadi Mererani mkoani Manyara
Picha na IKULU
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia