Mkurugenzi wa Jiji la Tanga,Daudi Mayeji akizungumza wakati wa kikao hicho kushoto ni Mstahiki Meya wa Jiji hilo,Alhaj Mustapha Selebosi na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa |
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akizungumza wakati wa kikao hicho. |
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akizungumza wakati wa kikao hichi | Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku |
Waheshimiwa madiwani kutoka
kata mbalimbali wakifuatilia hoja mbalimbali kwenye kikao
hicho
Wataalamu kutoka idara
mbalimbali katika Halamshauri ya Jiji la Tanga wakifuatilia kwa
umakini kikao hicho
Wakuu wa Idara mbalimbali
wakifuatilia kwa umakini katika kikao hicho katika ni Mchumi wa Jiji
la Tanga,Ramadhani Posi
Waheshimiwaa madiwani
wakifuatilia kikao hicho kulia ni diwani wa kata ya Central Khalid
Mohamed
Waheshimiwaa madiwani
wakifuatilia kikao hicho
Meneja wa kituo cha TV cha Halmashauri ya Jiji la Tanga (TATV)
Mussa Labani akifuatilia mijadala mbalimbali kwenye kikao
hicho
Waandishi wa Habari kutoka Vyombo mbalimbali wakifuatilia kikao hicho kulia ni Dege Masoli wa Nipashe Tanga,Mbaruku Yusuph wa Tanzania Daima kushoto,Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha |