Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (wapili kulia),
akimkabidhi Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro (katikati), mchoro
wa ramani ya nyumba za Polisi za kisasa zitakazojengwa kufuatia za
awali kuteketea kwa moto. Hatua ya ujenzi imeanza mara moja kufuatia
Mhe. Rais Dkt. John Magufuli, kutoa kiasi cha shilingi milioni 260 kwa
ajili ya ujenzi wa nyumba hizo. Wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa
Makampuni ya Hanspaul, Kamaljit Singh, na kulia ni Kamanda wa Polisi
mkoa wa Arusha (DCP) Charles Mkumbo na wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi
wa Wakala ya Majengo Arusha Bw. Victor,
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro, akiagana na Mkuu
wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, alipomtembelea ofisini leo tayari kwa
safari ya kurejea Dar es salaam, baada ya kuwapapole na kukagua eneo la
nyumba za Polisi zilizoteketea kwa moto.
Picha na Jeshi la Polisi.
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia