HomeHabari PICHA YA SIKU bywoinde -Saturday, August 19, 2017 0 picha ikionyesha wanafunzi wa darasa la kwanza shule ya msingi Sambaru iliopo katika kijiji cha Sambaru wilaya ya Ikungi mkoani Singida wakiwa wanasoma wakati wamekaa chini kutokana na kukosa madawati yakukalia (picha na Woinde Shizza,Singida) Tags Habari MATUKIO Facebook Twitter