SHAKA AINGIA PEMBA KWA KISHINDO

Na Mathias Canal, Pemba

Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka leo Agosti  2017 amewasili Visiwani Pemba-Zanzibar kwa Ziara ya kikazi.

Ambapo hii Leo atakuwa katika Wilaya ya Chakechake, katika Ziara hiyo Katibu Mkuu UVCCM Taifa atakagua utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya CCM katika kipindi hiki Cha Miaka mitano 2015-2020

Aidha, Shaka atashiriki shughuli Mbalimbali za kijamii sambamba na kuzungumza na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi na Jumuiya zake.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka leo Agosti 15, 2017 akisalimiana na Wanachama wa chama cha Mapinduzi CCM na Jumuiya zake mara baada ya kuwasili Visiwani Pemba-Zanzibar kwa Ziara ya kikazi.

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia