Ticker

6/recent/ticker-posts

TWASWIRA MBALIMBALI ZA MMBO YALIYOTOKEA KATIKA MAATHIMISHO YA SIKU YA VIJANA DUNIANI AMBAPO KWA MKOA WA ARUSHA WALIOATHIMISHA KATIKA VIWANJA VYA MAKUMBUSHO YA AZIMIO LA ARUSHA JIJINI HAPA

  muelimishaji wa shirika  linalohusiana na maswala ya  afya ya uzazi kwa vijana pamoja na ujasiariamali (DSW)  Mussa Jemsi akiwaelimisha vijana jinsi ya kujikinga na marathi ya zinaa na mimba zisizo tarajiwa katika  maathimisho ya siku ya vijana duniani yaliyofanyika kimkoa wa Arusha katika kiwanja cha kumbukumbu ya azimio la Arusha jijini hapa


 Muelimishaji kutoka kampuni ya NYika Farms Lydia Julias akiwa anawalimisha wananchi waliotembelea banda lao jinsi yakutumia baadhi ya bidhaa zao ikiwemo Juice mbalimbali za matunda
 CDO wa wanawake wa alimashauri ya jiji la Arusha  Josephine Mchalange akiwa anawalekeza vijana mbalimbali waliotembalea katika banda la halmashauri hiyo jinsi wanavyoweza kupatiwa mikopo na halmashauri kwa vikundi
 Mkurugenzi wa dunia moja pamoja (DMA) Saida Kessy   taasisi inaodili na kuzuia vijana kutumia madawa ya kulevywa nae alishiriki katika siku hii ya vijana

Post a Comment

0 Comments