TWASWIRA YA WANAFUNZI WA LUCKY VISENT WAKIWA WASILI KUTOKA MAREKANI KWENYE MATIBABU


  Pichani ni watoto Sadia,Doreen  Mshana na Wilson  mara baada ya kuwasili katika kiwanja cha ndege cha kilimanjaro  kutoka katika matibabu nchini Marekani ,watoto hawa ni

majeruhi (3)wa ajali wa Shule ya Lucky Visent ,hawa ni majeruhi waliobaki katika ajali hiyo ambapo wanafunzi 32 na walimu 2  walipoteza maisha hapo hapo (picha na Woinde shizza ,Arusha
 watoto wakiwa wanashuka katika ndegewanafunzi wa shule ya msingi lucky Visent wakiwasubiri wenzao  katika uwanja wa ndenge wa kilimanjaro

About Woinde Shizza

Mwandishi , Mjasiriamali na Mbunifu wa Mavazi. Email : woindeshizza@gmail.com , Instagram: woindeshizzablog.