Meneja wa bia ya Castle LITE nchini,Victoria Kimaro
akitambulisha nembo mpya ya bia hiyo ikiwa baridi wakati hafla ya uzinduzi wake
kwenye hafla iliyofanyika kwenye baa ya Break Point-Kinondoni jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wageni waliohudhuria
hafla uzinduzi wa nembo mpya ya Castle LITE inayobadilika rangi na kuwa bluu
inapokuwa kwenye ubaridi sahihi mpya ya kinywaji hicho wakipatiwa maelezo juu ya mabadiliko hayo ya
nembo .Hafla hiyo ilifanyika kwenye baa ya Break Point –Kinondoni jijini Dar es
Salaam jana na kuhudhuriwa na wananchi kutoka sehemu mbalimbali za jiji
Meneja wa bia ya Castle LITE ,Victoria Kimaro akiongea na waandishi wa
habari wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi wa nembo.
Baadhi ya wateja
waliofika kwenye hafla ya uzinduzi wa nembo mpya ya bia ya Castle LITE inayobadilika
rangi na kuwa bluu inapokuwa kwenye ubaridi sahihi wakishindana
kuweka mikono kwenye barafu wakiangaliwa na Meneja wa bia ya Castle LITE
Tanzania ,Victoria Kimaro (kulia) wakati wa hafla ya uzinduzi na nembo hiyo
ambapo ulikuwepo na michezo mbalimbali ya burudani iliyowawezesha washindi
kujinyakulia zawadi mbalimbali.