Ticker

6/recent/ticker-posts

MREMBO WA TANZANIA LILIAN KAMAZIMA ASHIRIKI SHINDANO YA MICHEZO MISS WORLD 2015

 Mwakilishi wa Tanzania katika shindano la Miss World 2015 Lilian Kamazima (wapili kushoto waliosimama) akiwa na washiriki wenzake wanaounda Read Team baada ya kukamilika kwa mashindano hayo ambapo katika kundi lao warembo kutoka Namibia,Spain,Turkey,Seychelles,South Africa na Scotland walifanya vyema huku warembo wa USA na  Ukraine wakiwekwa kiporo. Shindano la Miss World linataraji kufanyika Desemba 19, 2015 katika mji wa Sanya, China.
Lilian Kamazima akishiriki shindano hilo na wenzake. Mshindi wa Kipengele cha Michezo ataingia moja kwa moja katika fainali hizo.
 
 Mrembo wa New Zealand (kushoto) akishangilia na mrembo kutoka Kenya baada ya kumaliza mashindano hayo ambapo Mrembo wa New Zealand alishika nafasi ya kwanza katika kundi lao lala  Orange Team na Kenya kuwa watano.

Post a Comment

0 Comments