Ticker

6/recent/ticker-posts

MKUU WA WILAYA YA ARUSHA ASISITIZA MSHIKAMANO KUWALETEA WANANCHI MAENDELEO

   Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Fadhil Nkurluakifungua rasmi Baraza la Madiwani wa Jiji la Arusha

 Mwenyekiti wa muda wa Mkutano wa Baraza Ndg.Daniel Machunda ambaye pia ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Arusha  akikabidhi madaraka hayo  kwa Mstahiki Meya mara baada ya kuchaguliwakwa kura 33 kati ya kura 34 zilizopigwa.

Mkurugenziwa Jiji la Arusha Ndg. Juma Iddi ambaye pia ni Katibu wa Mkutano wa Barazaakitoa muongozo wa namna Mkutano huu wa kwanza unavyoendeshwa kwa mujibu wakanuni,kushoto ni Katibu Tawala mkoa wa Arusha,Addoh Mapunda.

Diwani wa Kata ya Sokon I, Mheshimiwa Calist Lazaro Bukhai(Chadema) akikishukuru baada ya kuchaguliwa kuwa Meya wa Jiji la Arusha. 

 Mstahiki    Meyawa Jiji la Arusha ,Mhe Calist Lazaro Bukhai akiwa na Naibu Meya wake  ViolaLazaro Likindikoki kwenye Mkutano wakwanza wa Baraza la Madiwani 

Diwaniwa Kata ya Kaloleni Mhe Lewis Kessy (Kushoto) na Diwani wa Kata ya Levolosi Mhe. Efatha Nanyaro wakiwa kwenye Kikaocha kwanza cha Baraza la madiwani wa Jiji la Arusha

  Mhe. Abdulrasul Tojo (kulia) ambaye ni diwanipekee wa CCM kwenye  Baraza laHalmashauri ya Jiji la Arusha alipokua akiomba kura katika nafasi ya  Naibu Meya wa Jiji hilo.



Mstahiki Meya Mhe. Calist Bukhai (aliyevaaTaji) Naibu Meya Mhe. Viola Likindikoki (tatu kushoto) Mkuu wa Wilaya yaArusha Mhe. Fadhil Nkurlu (nne kulia), Mkurugenzi wa Jiji, Ndgugu Juma Iddi (tatu kulia) pamoja na Madiwani wakiwakatika picha ya pamoja mara baada ya Kikao cha Baraza la madiwani.

Post a Comment

0 Comments