HAPA
KAZI TU ya Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli ikiendelea kufanyiwa kazi kama Rais huyo akionekana katika
picha akiwa sambamba na mkewe Mama Janeth Magufuli,wakishiriki kufanya
usafi leo ndani na nje viunga vya Ikulu ikiwemo pia soko la Samaki
Feri,ambako alipata wasaa kuwasikiliza wachuuzi wa samaki na wavuvi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na Mama Janeth Magufuli wakielekea eneo la ufukwe wa Ferry
kufanya usafi katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru tarehe 9 Desemba.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizoa taka katika eneo la ferry jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizoa taka katika eneo la ferry jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka
taka ndani ya ndoo ya Taka katika eneo la Magogoni jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kulia akiwa
pamoja na Mke wake Mama Janeth Magufuli wakifanya usafi katika eneo la
ufukwe wa ferry jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka
taka taka kwenye dastibin wakati akifanya zoezi la kufanya usafi katika
eneo la ufukwe wa Ferry jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiokota
takataka katika eneo la Ferry katika zoezi la kufanya usafi nchi nzima.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiokota
takataka katika eneo la Ferry katika zoezi la kufanya usafi nchi nzima.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Wavuvi wa ferry huku akiwa ndani ya Mtumbwi. Rais Magufuli
alizisikiliza kero zao na kuahidi kuzitatua ndani ya muda mfupi.
Rais
Magufuli akifanya usafi pamoja na wavuvi wa eneo la ferry waliojitokeza
kuungamkono zoezi hilo. Rais Magufuli amewataka Watanzania kuwa na
Utamaduni wa kufanya Usafi kila wakati ili kuweka mazingira katika hali
nzuri. PICHA ZOTE NA IKULU
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia