Mwanahabari na Mmiliki wa Mtandao wa Binagi Media Group (BMG) George Marwa Binagi-GB Pazzo (Kulia) jana Desemba 8.2015 aliingia katika ukurasa mpya wa kuelekea katika ndoa baada ya kumtambulisha mchumba wake Pendo Paul Kisaka (katikati) kwa ndugu, jamaa na marafiki katika hafla fupi iliyofanyika katika Ukumbi wa PK Hotel Jijini Mwanza.
Kushoto ni Shangazi mlezi wa GB Pazzo aitwayo Loyce Nhaluke a.k.a Mamaa Ndundu akishuhudia tukio hilo.
Mwanahabari na Mmiliki wa Mtandao wa Binagi Media Group (BMG) George Marwa Binagi-GB Pazzo akimvisha pete ya Uchumba mwenzi wake Pendo Paul Kisaka.
Pendo and George
Pendo, George na Zab
Anko John (Kushoto) na Msanii Elizayo HB (Kulia)
Kutoka Kushoto ni Shem Aggy, Dr.Tonny @Metro Fm na Filbert Kabago @Passion Fm
Dr.Tonny, Kabago na Anko John
Picha ya pamoja
Kutoka kulia ni George, Pendo na Mamaa Ndundu
Kutoka kulia ni George, Pendo na Anko John
Kulia ni Zab na shem wake Pendo
Kumbukumbu
Kutoka Kulia ni Kabago, Pendo, Dr.Tonny na Aggy
kutoka kushoto ni Pendo, Dr.Tonny na Braza Ayub
Pendo na Shem wake
Msanii Elizayo HB akiimba kwa hisia kali
George (Kushoto) akifafanua jambo. Kushoto ni wa ubani wake Pendo
Kutoka Kushoto ni Shem Aggy, George na Pendo
Pendo (L) & Aggy (R)
Aggy (R) & Pendo (L)