MAFURIKO YA WANANCHI YAJITOKEZA KATIKA MKUTANO WA LOWASA WA KUMUOMBEA KURA MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO LA ARUSHA MJINI KUPITIA TIKETI YA CHADEMA


ANDREA NGOBOLE


Mgombea umeya kwa tiketi ya CHADEMA jiji la ARUSHA Mheshimiwa Callist Lazaro ambaye ni diwani wa kata ya sokoni one alipokuwa akimnadi ,gombea ubunge jimbo la Arusha mjini Bwana Godbless Lema katika viwanja vya shulke ya msingi sinoni 
mawaziri wakuu wastaafu mheshimiwa Edward Lowassa na Mheshimiwa Sumaye wakimsikiliza mgombea ubunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless lema jioni hii katika viwanja vya shule mya msingi sinoni
Mheshimiwa Lema akihutubia maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha walioitokeza kumsikiliza katika kampeni za ubunge wa jimbo la Arusha mjini ambapo uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika jumapili ya tarehe 13 Disemba
 Waziri mkuu mstaafu na aliyekuwa mgombea uraisi kwa tiketi ya chadema mheshimiwa Edward Lowassa akihutubia maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha waliojitokeza kumsikiliza katika kampeni za ubunge wa Godbless lema wa chadema jioni hii katika viwanja vya shule ya msingi Sinoni alisema anaamini siku moja ataingia ikulu na kuwataka wakazi hao wasikate tamaa waendele kujitokeza katika kupga kura na kupigania maslahi yao kwa kumchagua lema aenelee kuwa mbunge wao
mheshimiwa lowassa akimuombea kura mheshimiwa Lema na kuwatambulisha mheshimiwa Callist Lazaro ambaye ni mgombea wa umeya jiji la Arusha na mgombea  unaibu meya  bi VIOLLA kwa tiketi ya chadema amabapo wameahidi kuleta maendeleo ya kasi katika jiji la Arusha.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post