Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj
Ali Hassan Mwinyi (kulia) akikabidhi Picha kwa Balozi wa Iran nchini
Tanzania, Mh. Mehdi Aghajafari, inayoonyesha sehemu ya Utamaduni wa
Tanzania, wakati alipomtembelea Nyumbani kwake, Mikocheni, Jijini Dar es
salaam
Rais Mstaafu wa awamu ya pili
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiwa
katiba mazungumza na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mh. Mehdi
Aghajafari pamoja na Msaidizi wake mpya, Bw. Ali Bagheni. Balozi huyo
alifika nyumbani kwa Mzee Mwinyi kwa kumtambulisha Msaidizi wake huyo
Mpya
Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj
Ali Hassan Mwinyi (kulia) akikabidhi Picha yake rasmi kwa Balozi wa Iran
nchini Tanzania, Mh. Mehdi Aghajafari, wakati alipomtembelea Nyumbani
kwake, Mikocheni, Jijini Dar es salaam