Gari la Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu likiwasili Makao Makuu ya wizara hiyo na kupokelewa kwa saluti mara tu baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli katika sherehe zilizofanyika leo Ikulu jijini Dar es Salaam
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akipokelewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Donan Mmbando mara tu baada ya kumalizika kwa tukio la kuapishwa.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akiongozana na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Donan Mmbando (kulia) kuelekea ofisini kwake.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa wizara hiyo.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akisaini kitabu cha wageni ofisini kwake huku Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Donan Mmbando akishuhudia tukio hilo.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala akiwasili katika wizara ya hiyo moja kwa moja akitokea Ikulu baada ya kula kiapo.
Pichani juu na chini ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa wizara hiyo.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akimkaribisha Naibu wake Dkt. Hamis Kigwangala ofisini kwake.
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Donan Mmbando (kulia) akisalimiana na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala ofisini kwa Mh. Ummy Mwalimu.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala akisaini kitabu cha wageni ofisini kwa Mh. Ummy Mwalimu.
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Donan Mmbando akitoa taarifa ya maendeleo ya Wizara kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu na Naibu wake Dkt. Hamis Kigwangala. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara hiyo, Gideon Malabeja.
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia