Askari
polisi wa Kituo cha Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu
wa kituo hicho, Mrakibu msaidizi (ASP) Thomas Mniko, (kulia) kusafisha
mazingira yanayozunguka eneo lao.
Mkuu wa
kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkonai Manyara, Mrakibu msaidizi
wa polisi (ASP) Thomas Mniko (katikati) akishirikiana na askari polisi wa kituo
hicho, kusafisha mazingira yanayowazunguka.
Mkuu wa
kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Mrakibu msaidizi
wa polisi (ASP) Thomas Mniko akisafisha mazingira yanayozunguka kituo hicho.