Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Mahmoud Kambona
akizungumza na wakazi wa Mji mdogo wa Mirerani, juu ya utaratibu wa
kufanya usafi kwenye mazingira yanayowazunguka kwa kila siku, ambapo
alishirikiana nao kusafisha eneo la soko na mnada wa Mirerani kwenye
maadhimisho ya miaka 54 ya uhuru.