Kiongozi wa Bend ya Twanga
Pepeta Rwiza Mbutu akiwa jukwaani wakati wa shoo ya uzinduzi baada ya
kujiunga tena katika Bendi ya mapacha Wanne
Chazi Baba kulia akiwa na Josee
Mara wakiwa katika shoo iliyo wavutia wadau wakati wa uzinduzi wa
nyimbo yao ya usiku wa kuachwa iliyozinduliwa hivi karibuni baada ya
kusambaratika.
Mpenzi wa Bend ya Mapacha wanne
Fredicto Mupao 'mwana tarime' akimwagia mapesa mwimbaji wa Bend ya
Mapacha wanne Kalala Jonia (kulia) katika ukumbi wa Mango Gaden wakati
wa usiku wa nyimbo ya kuachwa iliyo zinduliwa hivi karibuni Jijini Dar
es Salaam
Rwiza Mutu akiwa Jukwaani
Mdau achanganyikiwa kwa kumwagia
mapesa Mwimbaji wa Bend wa ya Mapacha wanne, KalalaJunia baada ya
kuvutiwa na kipaji cha uimbaji wa mwimbaji huyo nakujikuta anamwagia
mapesa
Kuanzia kulia ni Chazz Baba,
Haridi Chokora, Kalala Junia, Josee Mara
Kuanzi kulia ni Haridi Chokora, Kalala
Jnia, Chazz Baba, Josee Mara