Rais
Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete pamoja na
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Eng. Evarist Welle Ndikilo wakielekea soko kuu la
Chalinze kushirikiana na wananchi kufanya usafi wa mazingira leo
Desemba 9, 2015 ikiwa ni kuadhimisha miaka 54 ya UHURU kama ilivyoagizwa
na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli |