CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM CHAWATUNUKIA TUZO DR MENGI.MILLAR AYO,SHERIA NGOWI , DIAMOND PLATINUMZ NA ZITO KABWE
| Mkurungezi wa taifa wa kaymu tz Ndg Morgan akitoa elimu kuhusu biashara ya kutumia teknolojia ya mtandao na jinsi gani vijana wanaweza kutumia mtaji kidogo kuweza kutangaza na kuuza bidhaa zao |
| Mkurungezi wa Authentic media group Ndg Max Rioba akiwahamasiha vijana kuweza kutumia vipaji vyao kama sauti na kuweza kutengeeneza ajira |
| Mkurunezi wa IPP media Dr Regnald Mengi akitoa hamasa wanafunzi kwueza kutumia fursa kuweza kutengeneza mawazo ya kibiashara katika kongamano la wanafunzi wanaosoma masoko na biashara |
| wanafunzi wakifautilia kwa makini kongamano hili la marketing forum lilifnayika mwisho ni wa juma hilii siku ya jumamosi katika chuo kikuu cha D ar es salaam |
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia