NAIBU WAZIRI WA ARDHI,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI,ANGELA KAIRUKI AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA MKOA WA KILIMANJARO JUU YA TUHUMA MBALIMBALI ZA ARDHI ZILIZOIBULIWA BUNGENI HII KARIBUNI.
Posted by
woinde
on
Tuesday, June 16, 2015
in
Habari
MATUKIO
|
|
Naibu waziri a Ardhi ,Nyumbana Maendeleo na
Makazi,Angela Kairuki akiongozana na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro
,Leonidas Gama wakati alipowasili Kilimanaro kwa ajili ya tuhuma
dhidi ya mkuu huyo wa mkoa pamoja na migogoro ya
ardhi. |
|
Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na maendeleo ya
Makazi,Angela Kairuki akiteta jambo na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro
Leonidas Gama katika mkutano huo. |
|
Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya
Makazi,Angela Kairuki akizungumza katika mkutano huo uliowashirikisha
wakuu wa wilaya,kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa,maafisa ardhi
,madiwani pamoja na wananchi wa kawaida. |
|
Baadhi ya viongozi pamoja na watumishi
wengine walioshiriki mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano
wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro. |
|
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidss Gama
akizungumza katika mkutano huo. |
|
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya
Rombo,Anthony Tesha akitoa taarifa juu ya kiwanja kilichotolewa kwa
waweezaji na halmashauri hiyo kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda cha
saruji. |
|
Mkurugenzi wa Halamshauri ya wilaya ya
Moshi,Fulgence Mponji akitoa ufafanuz juu ya mgogoro wa kiwanja
kinachomilikiwa naaliyekuwa mbunge wa jimbo la Vunjo ,Aloyce
Kimaro. |
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia