Mkurugenzi Mtendaji wa THPS, Dr.Redempta Mbatia, akizungumza kabla ya
kukabidhi seti za kumputer kwa vituo vya afya vinane vya Unguja na Pemba
kwa ajili ya kutunzia kumbukumbu katika vituo vyao.
DR Mdahoma akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiwa Msaada wa Komputer
kwa Ajili ya kuwekea Kumbukumbu katika Vituo vya Afya vya Unguja na Pemba,
makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya hoteli ya mazsons shangani
Zanzibar.
Naibu Katibu Mku Wazara ya Afya Zanzibar Halima Maulid Salum akitowa
shukrani kwa msaada huo wa Seti za Kumputer uliotolewa na THPS kwa ajili ya
Vituo vya Afya Vinane vya Unguja na Pemba ili kuweza kutunza kumbukumbu zao
za kila siku.
Madaktari wa Vitengo Shirikishi katika Vituo vya Afya Unguja na Pemba
wakishuhudia ukabidhiwaji wa misaada ya Styei za Komputer kwa Vituo hivyo
kwa ajili ya kutunzia kumbukumbu katika vituo vyao wakiwa katika bustani ya
hoteli ya Mzsons shangani Zanzibar wakati wa makabidhiano kabla ya kuaza
kwa mkutano wa kutathimini uwekaji wa kumbukumbu. uliofanyika katika hoteli
hiyo

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Ndg Halima Maulid
Salum, akimkabidhi seti
ya Komputer Ndg Faiza Abass kwa ajili ya Kitengo
Shirikishi Pemba, kwa ajili ya kuwekea kumbukumbu ya wagonjwa
wanaoripotiwa kupitia Kitengo hicho, Vifaa hivyo vimetolewa na Taasisi ya
Tanzania Helth Promotion Support , makabidhiano hayo yamefanyika katika
viwanja
vya hoteli ya Maszosns shangani Zanzibar
anayeshuhudia katikati Mkurugenzi Mtendaji wa THPS Dr. Redempta
Mbatia
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Halima Maulid Salum,
akimkabidhi Seti ya Komputer Daktari wa Kituo cha Afya Mnazi Mmmoja Ndg
John Maida, kwa ajili ya kutunzia Kumbukumbu katika Kituo chao, msaada huo
wa Kumputer umetolewa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya THPS,Komputer hizo
zimekabidhiwa kwa Vituo vinane Unguja na Pemba makabidhiano hayo
yamefanyika katika viwanja vya hoteli ya Mazsons Shandani Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Halima Maulid Salum,
akimkabidhi Seti ya Komputer Daktari wa Kituo cha Afya Pemba Ndg, Badran
Sultani Issa, kwa ajili ya kutunzia Kumbukumbu katika Kituo chao, msaada
huo wa Kumputer umetolewa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya THPS,Komputer
hizo zimekabidhiwa kwa Vituo vinane Unguja na Pemba makabidhiano hayo
yamefanyika katika viwanja vya hoteli ya Mazsons Shandani Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Halima Maulid Salum,
akimkabidhi Seti ya Komputer Daktari wa Kituo cha Afya Unguja, Ndg Ahmed
Hani Mohammed, kwa ajili ya kutunzia Kumbukumbu katika Kituo chao
Shirikishi , msaada huo wa Kumputer umetolewa na Taasisi isiyo ya
Kiserikali ya THPS,Komputer hizo zimekabidhiwa kwa Vituo vinane Unguja na
Pemba makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya hoteli ya Mazsons
Shandani Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Halima Maulid Salum,
akimkabidhi Seti ya Komputer Daktari wa Kituo cha Afya Chakechake Pemba Bi
Mgeni Seif, kwa ajili ya kutunzia Kumbukumbu katika Kituo chao, msaada huo
wa Kumputer umetolewa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya THPS,Komputer hizo
zimekabidhiwa kwa Vituo vinane Unguja na Pemba makabidhiano hayo
yamefanyika katika viwanja vya hoteli ya Mazsons Shandani Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji wa THPS, Dr.Redempta Mbatia, akizungumza wakati wa
mkutano huo na kutowa maelezo ya THPS, jinsi nanavyofanya kazi
zake.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Ndg Halima
Maulid Salum, akifungua mkutano
wa siku moja kwa Madaktari wa Vitengo vya Shirikishi vya Ukimwi, Ukoma na
Kifua Kikuu, kutunza data katika Vituo vyao iliowajumuisha Madaktari kutoka
Vituo 8 vya Unguja na Pemba , ulioandaliwa na Taasisi
ya Tanzania Helth Promotion Surppot , yaliofanyika katika ukumbi wa hoteli
ya
Mazsons shangani Zanzibar, kulia Mkurugenzi
Mtendaji wa THPS, Dr.Redempta Mbatia
Washiriki wa warsha ya siku moja kutathimi mafanikio ya Utunzaji wa Data
katika Vituo vya Afya Shirikishi vya Unguja na Pemba, wakimsikiliza Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Bi Halima Maulid Salum akifungua
warsha hiyo katika ukumbi wa hoteli ya Mazsons shangani Zanzibar.
Ofisa wa THPS Zanzibar akifuatilia warsha hiyo ya Madaktari wa Vituo vya
Afya Kitengo Shirikishi wakati wa mkutano huo wa siku moja
kutathimini mafanikio ya Utunzaji, uliofanyika hoteli ya Mazsons Shangani
Zanzibar.
Washiriki wa warsha ya siku moja kutathimi mafanikio ya Utunzaji wa Data
katika Vituo vya Afya Shirikishi vya Unguja na Pemba, wakimsikiliza Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Bi Halima Maulid Salum akifungua
warsha hiyo katika ukumbi wa hoteli ya Mazsons shangani Zanzibar.
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia