TASWIRA YA ZIARA YA RAIS KIKWETE NCHINI FINLAND NA SWEDEN

 Mrisho Kikwete akikutana na kufanya
mazungumzomna Spika wa Bunge la nchi ya Finland Mhe Maria Lohela siku
alipotembelea bunge la nchi hiyo.


  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mahojiano na wanahabari
jijini Helsinki, Finland.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akigonganisha glasi na Mari Kiviniemi,
Waziri wa Masuala ya Nje wa Finland wakati wa dhifa iliyoandaliwa kwa
hashima yake jijini Helsinki
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya mchoro kutoka kwa Msanii
wa Kimataifa wa Kitanzania aishiye Sweden Bw. Charles Njau alipomutana na
 Watanzania waishio Sweden alipokutana nao Alhamisi jijini Stockholm
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mtaalamu wa kimataifa wa mambo
ya mapishi aishiye Sweden Chef Issa Kipande ambaye mwaka jana alikuwa
katika tiu ya taifa ya Sweden kwenye mashindano ya kombe la dunia la
mapishi walikoibuka na medali ya dhahabu. Chef Issa, ambaye pia anaedeesha
hoteli Mtwara, hivi karibuni amefungua mgahawa mkubwa mkubwa kuliko yote wa
Ki Afrika katika Ulaya yote mjini Trolhattan, nje kidogo ya jiji la
Stockholm, wenye uwezo wa kuchukua watu 400 kwa wakati mmoja

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post