MAGUFULI NA LOWASA WACHUKUWA FOMU ZA KUGOMBEA KITI CHA URAIS CCM DODOMA HII LEO


WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, akiwa anatabasamu mara baada ya kuchukuwa fomu ya kugombea urais katika ofisi za ccm mkoani Dodoma hii leo

Waziri mstaafu Edward Lowasa akiwa anaongea na vyombo vya habari mara baada ya kuchukuwa fomu ya kugombea  kiti  cha urais 

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post