Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Makamu wa Rais wa zamani wa Sudani ya Kusini Mhe. Riek Machar Teny
Dhurgon baada ya kufanya naye mazungumzo mafupi walipokutana jijini
Johannesburg, Afrika ya Kusini, Jumatatu jioni Juni 15, 2015 baada ya
Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Marais na Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika
(AU), ambapo Mhe Machar alimuomba Rais Kikwete aendelee kuwa mwenyeji wa
mikutano ya mazungumzo ya amani kati ya vikundi vitatu vinavyosigana
vya nchi hiyo. Kulia ni mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA ZAMANI WA SUDANI YA KUSINI REIK MACHAR NCHINI AFRIKA YA KUSINI, AOMBWA AENDELEE KUSIMAMIA MAZUNGUMZO YA AMANI KATI YA VIKUNDI VINAVYOSIGANA VYA NCHI HIYO
bywoinde
-
0