CRDB ARUSHA WAFURAHI NA WATOTO

 Meneja biashara CRDB tawi la Arusha, Rose  Mkumbwa (kulia) pamoja na wafanyakzi wengine wa Benki hiyo wakiwapa zawadi watoto  ambao ni wateja wa benki hiyo kupityia akaunti ya wateja wa account ya Junior Jumbo wakati wa maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika mjini Arusha jana.
 Mkurugenzi wa CRDB tawi la Arusha  Chiku Issa wa pili kutoka kulia (Alie beba mtoto) na Meneja biashara tawi la Arusha Rose Mkumbwa (kulia) wakiwa na wateja wa account ya Junior Jumbo, wakati wa maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika
Meneja biashara CRDB tawi la Arusha, Rose  Mkumbwa akizungumza na mtoto Collins Godwin

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post