No title

 Lenganas  Mdele akizungumza na wananchi  katika harambee ya kuchangia
ujenzi wa visima vya maji na matanki kwa wananchi wa kata za Narakawo na
Lobosiret   zilizopo  wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyaraambapo jumla ya
shilingi milioni 54 ilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika jana
katika kata ya Lobosiret.
Wananchi wa  kata za Narakawo na Lobosiret   zilizopo  wilaya ya Simanjiro
mkoa wa Manyarawakimsikiliza mgeni wa heshima Lenganas Mdele katika
harambee ya kuchangia ujenzi wa visima vya maji na matanki jumla ya
shilingi milioni 54 ilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika jana
katika kata ya Lobosiret.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post