Mwanamuziki na mwanamitindo Jokate
Mwegelo, na hitmaker wa ‘Chekecha’ Ali Kiba, wameonesha kushindwa
kuficha hisia zao baada ya kuonesha dhahiri kuwa ‘Mapenzi yana run
dunia’ kwa kutupia picha ambazo mashabiki wao wametafsiri kuwa hakuna
project kati yao bali ni wapenzi.
Leo asaubuhi kupitia wa kijamii Jokate,
ameweka picha akiwa na mwanamuziki Kiba, katika pozi tofauti na kuandika
“All The Best Cher” jambo ambalo mashabiki wameonesha kubariki penzi
hilo jipya na kuwataka kutangaza rasmi kwani wanaendana.