HII NDIO TASWIRA YA MATUKIO YALIYOTOKEA KATIKA NDOA YA FLORIAN MUTABAZI NA BEATRICE SANGAWE ILIOFANYIKA JIJINI ARUSHA

 Florian & Beatrice hongereni sana.mungu awatangulie katika safari nzuri mliyoianza.

 Msafara wa magari uliouthuria katika sherehe iyo
 wakiwa wanaonyesha furaha katika siku yao hii ambayo awataisahau katika historia ya maisha yao

 wakionyesha uthibitisho wao wa kuuaga maisha ya  ukapera








Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post