Mwenyekiti wa Bodi ya Saccos ya walimu wilaya ya Moshi vijijini,Godlisten Kombe akizungumza wakati wamkutano maalumu wa uchaguzi wa viongozi wa Saccos hiyo pamoja na wajumbe wa bodi. |
Baadhi ya wanachama wa Saccos ya walimu wilaya ya Moshi vijijini wakiwa katika mktano huo uliofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika na Biashara (MUCO). |
Meneja mkuu wa Chama cha Akiba na Mikopo cha walimu wilaya ya Moshi Vijijini,Bosco Simba akizungumza wakatiwamkutano huo. |
Baadhi ya wanachama wa Saccos hiyo ambao ni walimu wanaofanya kazi wilaya ya Moshi vijijini. |
Afisa Ushirika wilaya ya Moshi vijini Fausta Malulya akizungumza katika mkutano huo wa uchaguzi , |
Mmoja wa wanachama wa Saccos hiyo akiomba ufafanuzi wa jambo fulani wakati wa mkutano huo wa uchaguzi. |
Baadhi ya wanachama waliojitokeza kuomba nafasi ya kuwania kuwa wajumbe wa Bodi ya Saccos hiyo wakiwa wameshika karatasi zeneye majina yao. |
Wagombea wakijaribu kupita kwa wanachama kuomba kura. |