Nyumbani na Diaspora!
Ni kipindi kipya cha saa nzima chenye kuhusiana na Watanzania wa nyumbani
na walio nje ya mipaka yetu. Ni kipindi daraja kitakachowaunganisha
Watanzania katika kubaini fursa mbalimbali za kuinuka kimaendeleo, kwa mtu
mmoja mmoja, jumuiya na hatimaye taifa. Ni kipindi kitakachoongozwa na
mchambuzi na mmoja wa wanahabari nguli hapa nchini. Si mwingine ni Maggid
Mjengwa. Jiunge nae kufuatilia mahojiano motomoto na watu wa kada
mbalimbali kwenye masuala ya kiuchumi, kijamii na kitamaduni. Ni kila siku
ya Ijumaa saa 4 usiku na marudio Jumapili saa kumi jioni, hapa hapa TBC 1,
ukweli na uhakika!