Kati ya Mpira iliyotumika katika
Mashindano ya Mtemvu Cup (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Aliyekuwa Makamu wakwanza wa
shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Athumani Nyamlan (mwenye
tai) akikagua timu ya mpira ya Mtoni na Azimio wakati wa
mashindano ya robo fainali ya kwanza ya Mtemvu Cup katika
viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam Mtoni ilishinda mabao
4-3.
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas
Mtemvu akisalimia mmoja wa kiongozi wa timu hizo baada ya
aliyekuwa Makamu wakwanza wa shirikisho la Mpira wa Miguu
Tanzania (TFF) Athumani Nyamlan kukagua timu zizo Dar es Salaam
viwanja vya Mwembeyanga.
Aliyekuwa Makamu wakwanza wa
shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Athumani Nyamlan (watatu
kulia) akizungumza na wachezaji baada ya kukagua timu
hizo
Athumani Nyamlan akizungumza na
waandishi pichani hawapo baada ya kukagua timu hizo
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas
Mtemvu akizungumza na waandishi wa Habari pichani hawapo baada ya
ukaguzi wa timu
Mlinda mlango wa timu ya
Azimio Jafary Iddy akimdhibiti mchezaji wa timu ya mtoni Nyaka
Abuu wakati alipofika langoni kwake wakati wa mashindano ya robo
fainali ya kwanza ya Mtemvu Cup katika viwanja vya Mwembe Yanga
Dar es Salaam Mtoni ilishinda mabao 4-3.
Mashabiki wakifatilia mpambano huo
Wadau wakicheza wakati timu hizo
zilipokuwa zikichuana
Wadau Mbalimbali wakifatilia
mpambano huo
Wasanii Mbalimbali nao
walijitokeza akiwemo Mkurugenzi wa Wakubwa na Wanae Saidi fera (kulia)
wakatikati teacher Bonge ambaye ni Promota na anaye fatia ni Ispectar
Harooni Babu wakati wa mashindano ya robo fainali ya
kwanza ya Mtemvu Cup katika
viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam Mtoni ilishinda mabao
4-3.