Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya kuchimba Dhahabu ya Acacia,wanafamilia pamoja na marafiki wa kampuni hiyo wakishuka kutoka katika gari tayari kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro . |
Afisa Mtendaji mkuu wa Kampuni ya Acacia,Brad Gordon akitelemka kuanza changamoto ya kupanda mlima Kilimanjaro kama njia ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia sekta ya elimu nchini. |
Meneja wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Kampuni ya Acacia,Necta .P.Foya akifunga vizuri mizigo yake kabla ya kuanza safafti ya kupanda Mlima Kilimanjaro. |
Afisa Mtendaji mkuu wa Kampuni ya kuchimba dhahabu,Brad Gordon akifurahia jambo na mwakilishi wa kampuni ya utalii ya Zara Tour. |
Afisa mtendaji mkuu wa Acacia,Brad Gordon akitia saini katika makoti hayo. |
Meneja wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa kapni ya Acacia,Necta Foya akitia saini katika moja ya makoti hayo. |
Kundi la watu 21 kutoka kampuni ya Acacia wakifanya zoezi la uandikishaji kabla ya kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwalengo la kuchangisha fedha. |
Kaimu Mhifadhi mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro,Charles Ngemba akizingumza katika hafla fupi ya kuiaga timu ya watu 21 walioanza safari ya kupandaMlima Kilimanjaro. |
Mhifadhi Utalii katika Hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro,Eva Mallya akisalimia katika hafala hiyo. |
Badhi ya wapandaji . |
Baadhi ya wapandaji wakiimba kabla ya kuanza zoezi la kupanda Mlima Kilimanjaro. |
Neta na Fredy wakipata kikombe cha chai kabla ya kuazna zoezi. |