MUSLIM HASSANALI ARUDISHA FOMU YA KUJITOSA KUCHUKUWA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE


Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Muslim Hassanali akirudisha fomu  kwa Mratibu wa Kanda ya Pwani, Casimir Juma Mabina  za kuomba kuteuliwa kuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya chadema katika uchaguzi mkuu ujao. Kulia ni Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, Mabere Marando. (Picha na Francis Dande). Press Conference Today at Chadema's office DSM. Watch ITV,STAR TV,Channel 10, all fm radios, All Newspapers of 2moro 20th June 2015.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post