NASSARI AENDELEA KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.
![]() |
| Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akizungumza na wananchi katika kata ya Maruanga . |
![]() |
| Baadhi ya wananchi katika kata ya Maruanga wakimshangilia Nassari ,(hayuko pichani) |
![]() |
| Nassari akiwaapisha wananchi katika kata ya Maruanga huku akiwataka kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura. |
![]() |
| Mbunge Joshua Nassari akiwaoesha wanachi magari
mawili ya kubebea wagonjwa aliyotoa kusaidia wakazi wa jimbo la Arumeru
Mashariki. |










0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia