Binagi Media Group tunaungana na Wapenzi wa burudani Jijini Mwanza leo Jumamosi ya Januari 09,2015 na kesho Jumapili ya Januari ya 10,2015 ili kufurahi pamoja katika Kiota cha Burudani cha Mamiz Grand Resort Kilichopo Mkolani ikiwa ni baada ya shughuli nzito za juma zima.
Ni Mamiz Grand Resort pekee itakayotuwezesha kufurahia pamoja tukiwa na ndugu, jamaa na marafiki huku tukipata huduma bora kama vile Chakula safi, vinywaji vya kila aina, vyumba bora vya kulala vilivyonakshiwa kiafrika bila kusahau michezo mbalimbali ya watoto pamoja na Muziki wa Live.
Fika wikendi hii Mamiz Grand Resort ili ujionea utofauti wa burudani.
Kumbuka pia kutembelea Mamiz Gate Way Mkolani.
Bonyeza HAPA Kujua Zaidi 0767 024 094