Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN)
na Mhariri Mkuu wa Mtandao wa Thehabari.com, Joachim Mushi akitoa neno la
shukrani kwa Kampuni ya Tigo kwa kuwakutanisha baadhi ya wamiliki na
waendeshaji wa mitandao ya kijamii (bloggers & website owner) katika
hafla hiyo maalumu ya chakula cha jioni iliyofanyika 'Double Tree hotel'
jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wageni waalikwa ambao ni wamiliki wa
mitandao ya kijamii (bloggers & website owner) wakiwa katika hafla
maalumu ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na kampuni ya Simu ya Tigo
kusherehekea mteja wa milioni moja katika 'Facebook' ya kampuni hiyo. Tigo
ilitoa zawadi mbalimbali kwa wateja wanaofuatilia ukurasa wao (Facebook
page). Msanii maarufu wa
dansi nchini, Christian Bella akiwaburudisha wageni waalikwa katika hafla
maalumu ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na kampuni ya Simu ya Tigo
kusherehekea mteja wa milioni moja katika ukurasa wa 'Facebook' wa kampuni
hiyo. Msanii maarufu wa dansi nchini, Christian Bella (kulia) wa Bandi ya
Malaika kulia akicheza na mmoja wa wageni waalikwa katika hafla maalumu ya
chakula cha jioni iliyoandaliwa na kampuni ya Simu ya Tigo kusherehekea
mteja wa milioni moja katika 'Facebook' ya kampuni hiyo. Baadhi ya wanamitandao ya jamii wakisakata
rumba na msanii maarufu wa dansi nchini, Christian Bella (wa tatu kulia)
toka Bandi ya Malaika alipokuwa akiwaburudisha wageni waalikwa ambao ni
wamiliki wa mitandao ya kijamii (bloggers & website owner) katika hafla
hiyo maalumu ya chakula cha jioni iliyofanyika 'Double Tree hotel' jijini
Dar es Salaam. Baadhi ya wanamitandao ya jamii wakisakata
rumba na msanii maarufu wa dansi nchini, Christian Bella (wa pili kulia) wa
Bandi ya Malaika alipokuwa akiwaburudisha wageni waalikwa ambao ni wamiliki
wa mitandao ya kijamii (bloggers & website owner) katika hafla hiyo
maalumu ya chakula cha jioni iliyofanyika 'Double Tree hotel' jijini Dar es
Salaam.
"...TWANGA PHOTOOO..." Baadhi ya wanamitandao ya jamii wakiji-selfie na
Msanii maarufu wa dansi nchini, Christian Bella wa Bandi ya Malaika mara
baada ya kutoa burudani Mshereheshaji
wa hafla hiyo, Taji Liundi (kulia) akimkaribisha Mwenyekiti wa Tanzania
Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Mtandao wa Thehabari.com, Joachim
Mushi kutoa neno la shukrani kwa Kampuni ya Tigo kwa kuwakutanisha baadhi
ya wamiliki na waendeshaji wa mitandao ya kijamii (bloggers & website
owner). Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network
(TBN) na Mhariri Mkuu wa Mtandao wa Thehabari.com, Joachim Mushi (kushoto)
akibadilishana mawazo na mmoja wa maofisa kutoka kampuni ya Tigo, Shavkat
Berdiev katika hafla hiyo.