RAIA WA UJERUMANI AITELEKEZA FAMILIA YAKE HOTELINI DAR ES SALAAM

Raia wa Ujerumani (kulia) ambayejinalake halikupatikana maramoja, ametiwa na mbaroni na Jeshi la  Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa tuhuma za kutaka kuitoro familia yake katika  Hoteli ya Cate Dar es Salaam. Raia huyo alikuwa nchini na mkewe mwenye asili ya Afrika katika kipindi cha msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Alijaribu kumtoroka mkewe na mtoto (4) na kuwaacha wakidaiwa deni la sh. 315,000 baada ya kuzuka ugomvi baina yao.

 Mtoto wao (4) akisaidiwa kupandishwa katika Gari




 Raia wa Ujerumani huyo akitaka kuruka toka katika Gari
 Mke wa Raia wa Ujerumani wa pili kulia akiwa anaingia katika Gari kuelekea katika Kituo cha Polisi cha Msimbazi Dar es Salaam na wapili kulia ni kaka wa mwanamke wa Raia wa Ujerumani
Wananchi wakifatilia kwa karibu

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia