Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Salimu Mwalimu Salimu akifafanua jambo kwa Naibu Meya wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro katika ziara yake ya kumtembelea Meya huyo,Kulia ni Afisa Habari wa CHADEMA Taifa,Tumaini Makene
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Salimu Mwalimu Salimu akiteta jambo na Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Juma Idd alipomtembelea Ofisini kwake jana,Kulia na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa Amani Golugwa