--
Kundi la Mziki la Navy Kenzo Linaloundwa na Aika na Nahreel wametutoa
kimasomaso Watanzania Baada ya Video yao ya Wimbo wa Game
Walioshirikiana na Vanessa Mdee Kushika Namba Nne katika Chat ya Video
50 Bora za MTV Base Africa Zilizofanya Vizuri mwaka 2015..
Diamond Platnumz na Wimbo wake wa Nana umeshika namba 5 Katika Chat
hizo, Wimbo huo wa Nana Pia Umetengenezwa na Producer Nahreel Kitu
kinachomfanya Aendelee kuwa Producer Bora zaidi Kuwahi kutokea
Tanzania na East Africa kwa Ujumla,
Mwimbaji Wizkid wa Naigeria Ameshika Namba 6.
Pongezi ziende kwao @nahreel,@aikanavykenzo wanaounda Kundi la Navykenzo
Pia Pongeze Kwa Diamond Platnumz kwa Kuwa Namba 5 Katika Chat Hiyo...
Mwaka Huu Tegemea Mambo Makubwa Kutoka Kwao na The Industry Kwa Ujumla...