Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli amewasimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Bwana Sylvester Ambokile na Kamishna wa Uhamiaji anayeshughulikia Utawala na fedha Bwana
Piniel Mgonja ili kupisha
uchunguzi, kufuatia dosari alizozibaini Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Mheshimiwa Charles Kitwanga alipotembelea Idara ya Uhamiaji hivi
karibuni.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia