Waumini wa Dini ya kiislamu wakifanya dua katika uwanja wa mashujaa
katika maombi maalumu ya kuombea taifa na mkoa wa Kilimanjaro
Mkuu wa Mkoa wa Killimanjaro Anna Mgwira akiwa katika uwanja wa mashujaa
katika maombi maalumu ya kuombea taifa na mkoa wa kilimanjaro.
Kikundi cha Kaswida kikitumbuiza
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mgwira akiwa na viongozi wa dini
mbalimbali na madhehebu mbalimbali katika maombi ya kuombea taifa
yaliyofanyika ukumbi wa mashujaa
Kwaya ikitumbuiza