Ticker

6/recent/ticker-posts

KIJIJI CHA OLMOLOG NA ELERAI WAPATA NEEMA YA UMEME WA REA

Wakazi wa vijiji vya  Olmolog na Elerai wapata neema ya  umeme wa mradi wa REA II.
Umeme huo utaunganishwa kwenye nyumba zote wanazohitaji umeme bila kuangalia aina ya nyumba ili mradi mwanachi awe na uwezo wa kulipia gharama za kuunganishiwa umeme.
Nao wakazi wa kijiji hicho wameshukuru na kupongeza juhudi za serikali ya awamu ya tano kwa kuwapelekea huduma hiyo na tayari wameshajaza fomu na kulipia gharama za kuunganishiwa umeme huo.

Post a Comment

0 Comments