HAYA NDIO YALIYOTOKEA KATIKA HUKUMU YA SABAYA NA WENZAKE .

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imeahirisha kutoa hukumu ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya na wenzak...
Read More

WAELIMISHENI NA KUWAHAMASISHA WANANCHI WAJITOKEZE KUSHIRIKI ZOEZI LA SENSA:MAJALIWA

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Semina kuhusu Sensa ya Watu na Makazi kwa Wabunge  iliyofanyika kwenye ukumbi ...
Read More

ECLAT FOUNDATION LAKABIDHI MADARASA SANA KATIKA SHULE YA MSINGI NAKWENI

  Na Mwandishi wetu, Simanjiro SHIRIKA lisilo la kiserikali la ECLAT Foundation limekabidhi madarasa saba yakiwemo matatu mapya na manne yal...
Read More

TANESCO WAZINDUA MFUMO MPYA KWAAJILI YA KUTOA HUDUMA KWA WATEJA KIDIGITALI

  Shirika la umeme Tanzania limezindua mfumo mpya wa NIKONEKT APP kwaajili ya kutoa huduma kwa wateja kwa njia ya kidijitali Akizungumza hiv...
Read More

SHIBUDA ANG'OLEWA UONGOZI ADA-TADEA

  Na Woinde Shizza,ARUSHA Imeelezwa kuwa kuonyesha mwanga ni dira ya demokrasia kwa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu ku...
Read More

KIJAJI AWATAKA CAMARTEC KUTENGENEZA MASHINE ZIKAZO MUWEZESHA MKULIMA KUTATUA MATATIZO YA KILIMO

 Na Woinde Shizza,ARUSHA Waziri wa uwekezaji ,viwandana biashara Dkt Ashatu Kijaji amekitaka kituo cha zana za kilimo na teknolojia vijiji...
Read More

WANANCHI IRINGA WATAKIWA KUFANYA USAFI KILA SIKU ILI KUTUNZA MAZINGIRA

  Meya wa Manispaa ya Iringa Ibrahim Ngwada akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa MACHINGA Iringa,shirika la Kijana Amka Sas...
Read More

TEMDO YATAKIWA KUPELEKA KIWANDA CHA KUCHAKATA SUKARI KILOMBERO KABLA YA MWEZI DECEMBER

meneja wa karakana  ya Taasisi ya uhandisi na usanifu mitambo Tanzania (TEMDO) Nicas Bernard akimuonyesha  Waziri wa Viwanda, Biashara na Uw...
Read More

KAMATI YA UONGOZI NA WATAALAM JUU YA MGOGORO WA NGORONGORO IMESEMA INAAMINI SERIKALI ITATOA MATOKEO CHANYA

  Picha na maktaba Na Woinde Shizza,ARUSHA Kamati ya viongozi na wataalamu juu ya mgogoro wa Ardhi ya Tarafa ya Ngorongoro, Sale na Loliondo...
Read More

HOSEH APITA KWA KISHINDO KWA MARA NYINGINE UCHAGUZI WA URAIS TLS APITA KWA KURA ZAIDI YA 600

  Uchaguzi wa RAIS wa chama Cha Mawakili wa Tanganyika TLS umefanyika Leo ambapo Prof.Edward Hoseh ameibuka kidedea Kwa kupata kura 621 dhid...
Read More

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUJIKINGA NA UVIKO 10 KWA VYAMA VYA UTALII

  Katibu Mkuu wizara ya maliasili na utalii Dkt Francis Michael amegawa vifaa vya kujikinga na Uviko 19 ikiwemo barakoa 140,000 na vitakasa ...
Read More

TAKUKURU ARUSHA WAWATAADHARISHA WANANCHI JUU YA UWEPO WA MATAPELI WANAOTUMIA JINA LA TAASISI HIYO

Taasisi ya kupambana na kuzuia Rushwa mkoa wa Arusha(TAKUKURU) imewatahadharisha wananchi juu ya uwepo wa matapeli wanaotumia jina la taasis...
Read More

MAWAKILI VIJANA JIUNGENI KATIKA MAKUNDI KUANZISHA OFISI YA UMOJA BADALA KILA MOJA NA YA KWAKE

Mawakili na Wanasheria Vijana wametakiwa kujiunga katika makundi na kutumia fursa mbalimbali za kazi zao kwa kuanzisha ofisi Moja badala ya ...
Read More

ANGALIA JINSI NYATI MWEUPE ALIVYOKUWA KIVUTIO NDANI YA HIFADHI YA TARANGIRE

      Idadi ya watalii wanaotembelea hifadhi ya Taifa ya Tarangire imeongezeka kufuatia kuonekana kwa nyati wawili wenye rangi ya ajabu kati...
Read More