Ticker

6/recent/ticker-posts

MAJALIWA AWAWASHIA MOTO MSD ATAKA WALIOTUMIA FEDHA ZA UNUNUZI VIBAYA KUANZA KUCHUKULIWA HATUA KABLA HAJAFIKA UKO JUMATATU
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na afisa masoko wa chuo Cha uhasibu Arusha Elina Mwangoma wakati akikagua mabanda kwenye Wiki ya Ununuzi wa Umma, ambayo amezinduwa jana katika ukumbi Simba uliopo ndani ya kituo Cha mikutano Cha kimataifa cha AICC, jijini ArushaWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kaimu Katibu Mtendaji wa PPAA Agnes Sayi (katikati), wakati akikagua mabanda kwenye Wiki ya Ununuzi wa Umma, ambayo imefanyika katika ukumbi AICC, jijini Arusha. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi Godfrey Mbanyi, wakati akikagua mabanda kwenye Wiki ya Ununuzi wa Umma, ambayo imefanyika katika ukumbi AICC jijini Arusha.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Meneja Masoko wa IPP MEDIA Ernest Dilli (katikati) na Afisa Mask Msaidizi Esther Mbega, wakati akikagua mabanda kwenye Wiki ya Ununuzi wa Umma, ambayo imefanyika katika ukumbi AICC, jijini Arusha.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Hassan Hamad Chande, wakati alipowasili kwenye Wiki ya Ununuzi


Na Woinde Shizza , ARUSHA 


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Kasimu Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi mtendaji wa bodi ya wataalam wa ununuzi na ugavi (PSPTB) Godfrey Mbanyi kumkuta katika ofisi ya bohari ya dawa (MSD) jumatatu saa nne asubui na kumkuta ameshaanza kuwachukulia hatua  maafisa wa ununuzi wa bohari hiyo baada ya kubaini madudu yaliyofanywa katika ununuzi wa vifaa vya matiba


Aidha pia alisema maafisa ununuzi hao wametumia gharama kubwa kununua vifaa vya matibabu na bohari ya dawa (MSD)tofauti na bei halisi za soko hivyo kupelekea serikali kupoteza fedha nyingi za umma na kuwakosesha Wananchi huduma kwani vifaa vilivyonunuliwa ni vichache  kuliko fedha zilizotumik


Aliyasema hayo leo wakati akizindua  kongamano la wiki  ya ununuzi wa umma lililofanyika mkoa Arusha katika ukumbi wa Simba uliopo ndani ya kituo cha kimataifa cha mikutano Cha AICC ambapo alitolea mfano baadhi ya madudu yaliyofanywa katika bohari hiyo ya MSD  ni pamoja ununuzi wa mashine kubwa ya kupima kemia ya mwili bei ya kawaida milioni Kumi laki tano na thelasini wao wamenunua  milioni 49 ,huku walitakiwa wanunue mashine ya kupima sukari glokose analisisi    bei ya kawaida ya kununua   ilikuwa ni shilingi elfu saba   miatisa hamsini na sita wao wakanunua shilingi hamsini nane elfu na Mia tano


Amesema kupitia fedha ya UVIKO-19 ambayo Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alienda kukopa nje, ilitolewa fedha kupitia Wizara ya Afya ili zinununue vifaa vya tiba kwa ajili ya hospitali za mikoa, za rufaa, vituo vya afya na zahanati kwa nia ya kuwapunguzia mzigo Watanzania wa kutembea umbali mrefu kufuata huduma za tib


“MSD ilipata mgao wa fedha na ilipaswa kununua baadhi ya vifaa na nataka nitoe mfano huu: Walipaswa kununua kipimo cha sukari (blood glucose test) kwa sh. 150.00 lakini wao walikinunua kwa sh. 300.00. Walipaswa kununua kifaa cha kupima mkojo (urinalysis) kwa sh. 200.00 lakini wao walikinunua kwa sh. 780.0


“Walitakiwa kununua kipimo kidogo cha hematolojia ya mwili (Full Blood Picture 3 part) kwa sh. 2,100 lakini wao walikinunua kwa sh. 4,500; pia walitakiwa kununua kipimo kikubwa cha hematolojia ya mwili (Full Blood Picture 3 part) kwa sh. 3,800 lakini wao walikinunua kwa sh. 6,300; na walitakiwa kununua kipimo cha kuangalia ufanyaji kazi wa figo na ini (Renal and Liver Function Test) kwa sh. 6,000 lakini wao walikinunua kwa sh. 40,000


Akitoa mfano mwingine, Waziri Mkuu amesema MSD walipaswa kununua mashine ndogo ya kupimia kemia ya mwili (chemistry analyzer-semi automated) kwa sh. 1,357,200.00 lakini wao waliinunua kwa sh. 6,786,000 ilhali mashine kubwa ya kupimia kemia ya mwili (chemistry analyzer-full automated) iliyopaswa kununuliwa kwa sh. 10,530,000.00 wao waliinunua kwa sh. 49,000,00Aidha alisema kuwa hayo yaliyofanywa sio mema Kwa watanzania na anatarajia  watafanya marekebisho makubwa   katika mambo hayo ikiwemo kuwachukulia hatua Kali wale wote ambao wanahusika kuvunja sheria na wale ambao hawafaati sheria na maadili ya kazi hii ya ununuzi wakiwemo na wale ambao  bado wanachukuwa rushw"Moja kati ya mahubiri yenu katika kongamano hili iwe ni kukemea haya ,pia serikali ilishatoa maelekezo Kwa sekta za manunuzi maelekezo ya kutoa upendeleo Kwa makampuni yanayomilikiwa na  watanzania  pamoja nakutoa  upendeleo kwa watu wenye uhitaji maalumu kama vile walemavu ,vijana na wazee kushiriki  katika kupata fursa kwenye  zabuni za serikali zinazotangazwa  ambazo zimeweka mkazo kwenye swala la ununuzi pamoja na ilani ya uchaguzi ya chama Cha mapinduzi imesisitiza pia kuwapa vipaumbele mara kadha ofisi yangu imekuwa ikipokea malalamiko kuwa wakati zabuni zinatangazwa na makampuni ya watanzania  yakajitokeza na kukuta yanavigezo vya kutosha ila afisa mnunuzi Kwa makusudi kabisa anaacha kuwapa yale makampuni yenye vigezo na badala yake wanayapa makampuni ya kigeni jambo ambalo sio zuri na Wala sio la kizalendo"alisema Majal
Alisema kuwa pamoja na uwepo wa taasisi zinazosimamia manunuzi yanayofanywa katika ofisi za Serikali , bado wasimamizi wa manunuzi hawajaona huruma kwa walipakodi  kwa kuendelea kufanya manunuzi kwa gharama kAlisema kuwa  zaidi ya asilimia 70  ya bajeti ya serikali inatokana na fedha za walipa Kodi inatumia katika ununuzi wa bidhaa ,huduma ,kandarasi za ujenzi ambazo tunazishuhudia katika maeneo  tuliopo ambapo alisema kazi ya usimamizi itakuwa ya ufanisi zaidi endapo wadau wa ununuzi watafanya kazi zao Kwa Kufuata maadili na uaminifu Ili kuzingatia dhamani halisi ya fedha katika manunuzi aina zote wanayoyafanya katika ofisi z
Kwa upande wake naibu waziri wa fedha na mipango Hamad Chande amesema wiki ya ununuzi wa umma unatoa kipao mbele kwa wanunuzi na wagavi ambapo serikali imechukua hatua katika kurekebisha sheria iliyokuwa inawakandamiza wanunuzi na wa


Aidha  chande ameongeza kuwa mfumo huu unakutana na changamoto ikiwemo ya kumomonyoka kwa maadili na kuwepo mianya ya rushwa na ametoa wosia kwa wanunuzi wa waganzi kuwa chochote wanachofanya wamtangulize Mungu na kuwaeleza kuwa wakiaminiwa na wao wajiaminishe

Post a Comment

0 Comments